Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

mrimbeni
Create Your Own App Store

* mrimbeni


* mrimbeni


* Groups Owned:

Star guyfromtanzania join
THE HARD WAY THE ONLY WAY MUNGU PEKEE NDIE TEGEMEO LA KILA mwanadamu.
serikali ya tanzania sasa imekuwa km kituko fulani ambacho hata kijana mdogo anakishaa kwa aina yake.iweje mali ya mrithi iweniya wageni? nashangaa mikataba mibovu ya madini inavyo wekwa. jamanini miaka 100 migodi inabinafsishwa kweli tutafika? Watanzania tuamke.

Star MAWAZOYANGU join
SERIKALI SASA IKO KTK SHIMO LA RUSWA, HAKUNA ASIYE LIJUA.mwenyefimbo ya ku2ongoza naye ni km mwana taarabu hupenda v2 vya anasa hupenda kujifu kuliko kusifiwa hukana makosa yake huwaweka hatiani wale wasiokuwa na hatia
kama ni hivi AFRIKA haitaendelea kiuchumi.tz kila kiongozi anamamlaka ambayo hata mgeni anayashangaa inaonekana nchi ya watu vituko.MAWAZIRI NI WEZI. ASKARI MWIZI. TENA JAMBAZ KUBWA.tena wanajichukulia mamlaka mkononi. hakuna amani usikiapo Viongoz ndio wenye mali. badala wananchi ndio wawe na maendeleo?. jamani tutafika? ............

Star guyfromtanzani join
kunaki2zaid ya maisha na maisha zaid ya v2 vyote.mwisho wa mwanadam ni nini? kweli maisha ni kitendawili.ambacho ni siri
ktk maisha kunafumbo kubwa sana ambalo Mungu amewewakekea wanadamu.Kufahamu hapo mbeleni utakuwa namna gani, mwanamu anaishi kwa imani 2 huwez kujua nini kitakacho kuja hapo baadae.


* Groups Joined:

Star noises join
logo
:: 100 percent FREE :: The freshest Tones & tracks in mp3 and other formats - Full MP3 tracks - NEW files daily - Requests taken - Over 2500 audio files NEW latest films & tv series,* join TODAY! * with 16,000+ members.
Come join the s*xiest loudest group in the world, are you looking for glorious ringtones and full length mp3s & albums??? could you do with a few of the latest MP4 films to download onto your iphone or android? or maybe you just want to pimp your phone/laptop up with some cool apps, themes & wallpapers. Well if you answer yes to all those then i think you just found digital heaven. / Not only can you download any item for FREE you can also add your own material in the files section, read...

Star frndzfiesta08 join
logo
its for al who believe in frndship - Also join d 2 new groups BnHStarz for movie lovers n SMania for sports lovers tunein2musik fr musik freaks..
al our relations in lyf is pre defined b4 even v r born lyk mom dad bro sis uncles aunts cousins its only frndship dats chosen bY us .... Frndship has no boundaries o limitations.. Many things dat v cant share wit near n dear ones is shared wit frnds. And u kno wat in every relationship v try to build frndship. Mom dad bro sis at tyms even dey prove to be our best frnds.. So jst extend ur hand and meet frnds al arnd...

Star mrimbeni join
UHURU WA MTU KUTENDA JAMBO FULANI KTK KZ
utakuta kijana kaajiriwa na kampuni,serikalini,au mtu binafsi. anafanya kazi vema hata boss anafaham hilo. Lakini ajabu hakuna hata nafasi ya kupumua ktk shughuli ile mpaka mtu unajuta kwanini uliingia pale.na jambolingine kuhisi kuibiwa mali kituambacho si6 kweli .Hapo ndipo mambo hubadilika.Jamani kijana apewe uhuru wa wastani huku ukimpa mwenendo wa kimaisha ktk kaz.Vijana tuache udokozi ktk makampuni au kwa watu binafsi.

Star Funworl join
Welc*m 2 al budis
Wlc*m 2 al funybudz n i supos ul njoy her so cntinue rokng n drop urslz her .

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store